China kwa hatua za mwisho mwisho.
Muonekano wa mbele wa G7 Viaggio.
Muonekano wa nyuma wa G7 Viaggio.
Aidha basi hizo zinakuja zikiwa full luxury kukiwa na huduma ya USB, AC, WI-FI pamoja na choo. Pia wameweza kuongeza gari nyingine mbili aina ya Scania Andare Class G6 series ambazo zipo Afrika Kusini zikimaliziwa kabla ya kufika nchini, nazo zinakija zikiwa daraja la juu.


No comments:
Post a Comment