Tuesday, 19 September 2017

BARAKA CLASSIC AINGIZA YUTONG F12 PLUS.

Kampuni ya usafirishaji wa abiria ya Baraka Classic yaingiza basi la kiwango cha juu nchini aina ya Yutong F12 plus kutoka nchini china.
           Muonekano wa nyuma wa Yutong f12+                                          basi.

 Wasafiri Tanzania Investment Limited iliweza kuwasiliana na kampuni ya Baraka Classic na kuweza kupata kufahamu uzuri wa basi. Pia katika hali hiyo wameweza kuleta basi moja ambayo inatazamiwa kufanya safari za Dar es salaam kwenda Masasi. Basi hiyo inanafasi kubwa baina ya siti na siti na kumfanya msafiri asijibane wakati wa kukaa pia inasehemu za kuchajia na huduma ya internet, basi hilo likiwa na LCD TV ambazo ziko 7 zenye muonekano mzuri ambao utakufanya uweze kufurahia safari yako.
          Muonekano wa ndani wa basi la Baraka                                        Classic
Hapa chini ni Muonekano wa gari hiyo kwa mbele na nyuma.


No comments:

Post a Comment

KILIMANJARO EXPRESS ANAFUNGA MWAKA KIANA YAKE.

Kampuni ya usafirishaji wa abiria iliyojikita katika ruti ya majiji mawili ya Dar es salaam Arusha imekuja kitofauti zaidi baada ya kununua ...